Abbey / Umisionari / Huduma za Afya
KAMA ilivyo katika nyanja ya elimu, sekta ya utunzaji wa wagonjwa imekuwa inapewa msisitizo mkubwa katika utume wa abasia yetu. Habari za kina kuhusu huduma hii zinapatikana katika tovuti ya hospitali. Tembelea: ndandahospital.org