Abasia
Miradi ya Kimisionari Inayoendelea | Abasia
Miradi ya Kimisionari Inayoendelea
Miradi ya Kimisionari Inayoendelea
Abbey / Miradi ya Kimisionari Inayoendelea

Kazi ya kimisionari kama tujuavyo ni kazi endelevu. Iwe Tanzania au Msumbiji daima jamii zinazotunguka zinatujia na maswali au mahitaji ambayo hayana budi yatafutiwe ufumbuzi sasa au siku za usoni. Kutokana na mahitaji yaliyopo, siku hizi za usoni tumeamua kujikita katika miradi ifuatayo:

  • Ujenzi wa kituo cha afya Awasse, Msumbiji (kuanza 2019-)
  • Ujenzi wa wodi ya wagonjwa waliozidiwa (watu wazima & watoto) Ndanda Hospitali (kuanza (2019 -)
  • Upanuzi wa “Missionary Ward” ya Ndanda Hospitali (bado kuanza).

Wakati tunajaribu tuwezavyo kutekeleza miradi hii, tunatambua pia kuwa kwa nguvu zetu wenyewe hatutaweza.
Kwa sababu hiyo iwapo kuna yoyote amabaye angependa kushirikiana nasi katika kutekeleza utume huu muhimu, tungemwomba awasiliane nasi kupita tovuti hii. Asante!

Switzerland:

Missionsprokura der Abtei St. Otmarsberg. Tel. +41 (0) 55 285 8111
Email: abtei@otmasberg.ch

Germany:

United States

Benedictine Mission House in Schuyler, NE: Tel. +1 402 352 2177
Email: missionoffice@benedictinemissionhouse.com