Abasia
Utunzaji wa Bustani | Abasia

Utunzaji wa Bustani

Utunzaji wa Bustani

Abbey / Utunzaji wa mazingira / Utunzaji wa Bustani

MONASTERI ni nyumbani na si kama sehemu ya kazi ambayo watu wanaingia asubuhi na kutoka tena jioni. Ni sehemu inayofaa kutunzwa na hivyo kupendezeshwa. Kwa kutumia muda mwingi kuotesha maua kama bungevillea, hibiscus, mitende, n.k. tunachangia kwa hakika katika kufanya mazingira yapendeze zaidi. Lengo letu, lakini, haliishii hapo: lengo letu kubwa ni kufanya sehemu yetu ya dunia ipendeze zaidi – kwa macho lakini pia kwa kuwa hewa safi.