Ufunguzi Wa Mision Dodoma
Tarehe 21 Aprili, Abasia yetu ya Ndanda ilisherehekea ufunguzi wa shule yetu, Abbey Secondary School Dodoma (ASSD), pamoja na Monasteri ya Mwenyeheri Isidory Bakanja. Baada ya hapo, kuliwekwa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi...
Read More
