Abasia
ABASIA YA NDANDA | Mtwara
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Wabenediktini Wamisionari

Abasia ya Ndanda ni kati ya abasia ambazo kwa pamoja zinatengeneza shirika la kimataifa la Wabenediktini Wamisionari wa Mt. Ottilia (Congregatio Ottiliensis OSB). Nyumba mama pamoja na ofisi kuu ya shirika zipo Bavaria, Ujerumani. Habari zaidi juu ya shirika letu zinapatikana kwa kutembelea tovuti hii: Soma Zaidi >>>

Utume wetu Msumbiji

Miaka zaidi ya mia moja iliyopita wamisionari Wabenediktini walifika mara ya kwanza Tanganyika na kuanza kazi ya kueneza Injili. Hii ilikuwa mwaka 1894 wakati Padre Maurus Hartamann OSB alipoanza kazi yake kusini mwa mto Rufiji. Soma Zaidi >>>

Miradi ya Kimisionari Inayoendelea

Kazi ya kimisionari kama tujuavyo ni kazi endelevu. Iwe Tanzania au Msumbiji daima jamii zinazotunguka zinatujia na maswali au mahitaji ambayo hayana budi yatafutiwe ufumbuzi sasa au siku za usoni. Kutokana na mahitaji yaliyopo, siku hizi za usoni tumeamua kujikita katika miradi ifuatayo: Soma Zaidi >>>