Ndanda Twajipatia Mzaliwa Wetu wa Kwanza

MALAIKA WALIPOWATOKEA Wachungaji wa Bethlehemu siku ya kuzwaliwa Bwana waliwaambia: “Nawaletea habari njema ya furaha kuu… Kwa ajili yenu mtoto amezaliwa…” Kupata mtoto, katika utamaduni wowote ni sababu ya furaha na mara nyingine shangwe kubwa kabisa.

Read More